SURA YA 8-10. Mafundisho ya Kidini Yenye Makosa (Warumi 8:29-30)

Episode 16 January 13, 2023 00:30:05
SURA YA 8-10. Mafundisho ya Kidini Yenye Makosa (Warumi 8:29-30)
Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
SURA YA 8-10. Mafundisho ya Kidini Yenye Makosa (Warumi 8:29-30)

Jan 13 2023 | 00:30:05

/

Show Notes

Vifungu hivyo vinatueleza sisi kuwa Mungu alichagua tangu asili ili kuwaokoa watu katika Yesu Kristo. Ili kufanya hivyo, Mungu amewaita wao katika Kristo, amewahesabia haki wale aliowaita, na amewatukuza wale aliowahesabia haki. Misingi yote ya maandiko imepangwa na kutekelezwa kwa kupitia Yesu Kristo. Hivi ndivyo kitabu cha Warumi kinavyotueleza, lakini wanatheolojia wengi na watumishi wa uongo wameubadilisha ukweli huu ulio wa wazi kuwa katika fundisho la kawaida la dini hali likiwa na mawazo na matakwa yao binafsi na wanalieneza fundisho hilo kwa nguvu. Sasa tunageukia kuchunguza jinsi watu wengi wanavyouelewa vibaya ukweli huu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Other Episodes

Episode 28

January 13, 2023 00:18:07
Episode Cover

SURA YA 14-1. Msihukumiane

Paulo aliwaonya watakatifu huko Rumi kwamba wasihukumiane wala kubishania imani za wao kwa wao. Kwa wakati huo, kwa kuwa kulikuwa na watu ambao walikuwa...

Listen

Episode 27

January 13, 2023 00:11:26
Episode Cover

SURA YA 13-1. Ishi Kwa Ajili ya Haki ya Mungu

Ni lazima tuishi katika mipaka ya desturi za kijamii. Mungu alituamuru kuwaogopa na kuwaheshimu wale walio na mamlaka katika maisha yetu yote ya kimwili...

Listen

Episode 21

January 13, 2023 00:36:57
Episode Cover

SURA YA 9-2. Ni Lazima Tufahamu Kuwa Kuchaguliwa Tangu Asili Kulipangwa Ndani ya Haki ya Mungu (Warumi 9:9-33)

Hebu sasa tuweke umakini wetu juu ‘kuchaguliwa tangu asili kulikopangwa na Mungu”. Ili kuelewa kiusahihi juu ya maana ya kuchaguliwa tangu asili, basi tunapaswa...

Listen