Leo, hebu tukiangalie kifungu hicho hapo juu kinachotoka katika Warumi sura ya 8. Kifungu kinasema kuwa Mungu alituchagua tangu asili, alituita, na akatutukuza sisi tulio katika Yesu Kristo Mwana wa Mungu. Tutazungumzia juu ya hili na jinsi watu wanavyolielewa Fundisho la Utakazo Unaozidi.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Biblia inatueleza sisi pia kuwa, “kwa akili zangu naitumikia sheria ya Mungu, bali kwa mwili wangu sheria ya dhambi.” Na hizo ndio sheria zinazotutawala....
Pengine sura ya 8 inaweza kuelezewa kuwa ni sura muhimu sana miongoni mwa sura kadhaa za kitabu hiki cha Warumi. Paulo anatufunulia jinsi ambavyo...
Je, kuna watu ambao wanaifuata haki yao wenyewe huku wakiwa wanaiamini injili ya maji na Roho? Maandiko yanasema kuwa watu wa jinsi hiyo wasioiamini...