Hebu sasa tuweke umakini wetu juu ‘kuchaguliwa tangu asili kulikopangwa na Mungu”. Ili kuelewa kiusahihi juu ya maana ya kuchaguliwa tangu asili, basi tunapaswa kulizingatia Neno la Mungu lililoandikwa, na kisha tukajisahihisha sisi wenyewe ikiwa kuna kitu kibaya katika imani zetu. Katika hili, tunapaswa kwanza kutambua kuwa ni kwa nini Mungu alimpenda Yakobo huku akimchukia Esau. Pia tunahitaji kuchunguza ikiwa uelewa wa Ukristo wa sasa juu ya kuchaguliwa tangu asili kama haujatoka nje ya Maandiko. Sisi sote ni lazima tuwe na uelewa sahihi wa kuchaguliwa tangu asili kulikopangwa na Mungu.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Biblia inatueleza sisi pia kuwa, “kwa akili zangu naitumikia sheria ya Mungu, bali kwa mwili wangu sheria ya dhambi.” Na hizo ndio sheria zinazotutawala....
Leo, hebu tukiangalie kifungu hicho hapo juu kinachotoka katika Warumi sura ya 8. Kifungu kinasema kuwa Mungu alituchagua tangu asili, alituita, na akatutukuza sisi...
Mtume Paulo, kama mtu aliyepokea wokovu toka kwa Mungu alisema kuwa wale waliozaliwa tena upya hawapaswi kuishi kwa jinsi ya mwili bali kwa jinsi...