SURA YA 14-1. Msihukumiane

Episode 28 January 13, 2023 00:18:07
SURA YA 14-1. Msihukumiane
Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)
SURA YA 14-1. Msihukumiane

Jan 13 2023 | 00:18:07

/

Show Notes

Paulo aliwaonya watakatifu huko Rumi kwamba wasihukumiane wala kubishania imani za wao kwa wao. Kwa wakati huo, kwa kuwa kulikuwa na watu ambao walikuwa ni waaminifu sana na wale ambao hawakuwa waaminifu sana katika kanisa la Rumi, basi hali hiyo ilisababisha kulaumiana na kubishania imani kati ya wao kwa wao. Ikiwa jambo hili litatokea kwako basi unapaswa kuheshimu imani ya mtu mwingine na jitahidi kuepuka mabishano yoyote na watumishi wa Mungu. Kwa kweli suala la kuwainua na kuwajenga watumishi wake si kazi yetu bali ni kazi ya Mungu mwenyewe.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Other Episodes

Episode 27

January 13, 2023 00:11:26
Episode Cover

SURA YA 13-1. Ishi Kwa Ajili ya Haki ya Mungu

Ni lazima tuishi katika mipaka ya desturi za kijamii. Mungu alituamuru kuwaogopa na kuwaheshimu wale walio na mamlaka katika maisha yetu yote ya kimwili...

Listen

Episode 14

January 13, 2023 00:03:26
Episode Cover

SURA YA 8-8. Roho Mtakatifu Anayewasaidia Wenye Haki (Warumi 8:26-28)

Roho Mtakatifu yumo katika mioyo ya wale wanaoamini katika haki ya Mungu. Roho Mtakatifu anawafanya wao kuomba na anawasaidia kufanya hivyo. Pia Roho Mtakatifu...

Listen

Episode 8

January 13, 2023 00:33:44
Episode Cover

SURA YA 8-2. Haki ya Mungu, Utimilifu wa Hitaji la Sheria Kwa Mwenye Haki (Warumi 8:1-4)

Warumi 8:1-4 inatueleza sisi juu ya aina ya imani ambayo wale walio katika Kristo wanayo. Siri ya kifungu hiki ni kwamba tunaweza kukutana na...

Listen