Wale wanaoamini katika haki ya Mungu hawapaswi kuitafuta hai yao wenyewe kwa kuwa Yesu Kristo hakuitafuta haki yake mwenyewe. Wenye haki wanaishi kwa ajili ya Ufalme wa Mungu na wanaihubiri injili kwa ajili ya mema ya wengine. Paulo alisema kuwa wenye nguvu wanapaswa kubeba mapungufu ya wadhaifu badala ya kujipendeza wao wenyewe.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Kwa nini Paulo alisema kuwa anahuzuni sana na uchungu unaoendelea katika moyo wake kwa ajili ya watu wake? Ni kwa sababu Paulo alikuwa ana...
Aya ya 35 inasema, “Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari,...
Ikiwa mtu ni Mkristo wa kweli au la mtu huyo anatofautishwa kwa kigezo ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yake au la. Inawezakanaje kwa...