Ikiwa mtu ni Mkristo wa kweli au la mtu huyo anatofautishwa kwa kigezo ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yake au la. Inawezakanaje kwa mtu kuwa Mkristo ikiwa mtu huyo hana Roho Mtakatifu katika moyo wake? Paulo anatueleza sisi kuwa hata kama tunamwamini Yesu hilo sio suala muhimu sana bali ikiwa tunamwamini Yesu hali tukiwa tumeigundua haki ya Mungu au la. Imani ya kweli inayohitajika kwa watakatifu ni ile imani ambayo iko tayari kupokea na kufanywa makao ya Roho Mtakatifu. Uwepo wa Roho Mtakatifu ndio unaoweza kukutambulisha ikiwa wewe ni Mkristo au la.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Katika utangulizi wake, Mtume Paulo aliwaambia watakatifu waliokuwapo Roma na kwetu sisi kwamba tunapaswa kusalimiana. Je, ni nani tunayeweza kumsalimia kwa moyo wote katika...
Warumi 8:1-4 inatueleza sisi juu ya aina ya imani ambayo wale walio katika Kristo wanayo. Siri ya kifungu hiki ni kwamba tunaweza kukutana na...
Roho Mtakatifu yumo katika mioyo ya wale wanaoamini katika haki ya Mungu. Roho Mtakatifu anawafanya wao kuomba na anawasaidia kufanya hivyo. Pia Roho Mtakatifu...