Aya ya 35 inasema, “Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?” Ni nani anayeweza kututenga na upendo wa Kristo uliotolewa kwa wale wanaoamini katika injili ya maji na Roho ambayo ina haki ya Mungu ndani yake? Je, mateso na matatizo vinaweza kutukata toka katika upendo huo? Je, yale mapigo makuu ya miaka saba yanaweza kututenga na upendo huo wa Yesu? Kwa kweli hapana!
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Ninamsifu Bwana ambaye ameniongoza hadi kuonana na ninyi watu wa Mungu kwa mara nyingine tena. Kwa kweli ninamshukuru sana Mungu kwa kunibariki na kunifanya...
Je, umewahi kuona bunda la nyuzi zilizojisokota? Ikiwa unajaribu kuifahamu sura hii pasipo kuufahamu ukweli wa ubatizo wa Yesu ambao Mtume Paulo aliuamini, basi...
Watu wote ambao wamesamehewa dhambi zao wanaamini katika injili ya maji na Roho na wana Roho Mtakatifu katika mioyo yao. Katika 1 Yohana 5:10...