Latest Episodes
19
SURA YA 8-13. Ni Nani Atakayewatenga Wenye Haki na Upendo wa Kristo? (Warumi 8:35-39)
Aya ya 35 inasema, “Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari,...
20
SURA YA 9-1. Utangulizi Kwa Sura ya 9
Kwa nini Paulo alisema kuwa anahuzuni sana na uchungu unaoendelea katika moyo wake kwa ajili ya watu wake? Ni kwa sababu Paulo alikuwa ana...
21
SURA YA 9-2. Ni Lazima Tufahamu Kuwa Kuchaguliwa Tangu Asili Kulipangwa Ndani ya Haki ya Mungu (Warumi 9:9-33)
Hebu sasa tuweke umakini wetu juu ‘kuchaguliwa tangu asili kulikopangwa na Mungu”. Ili kuelewa kiusahihi juu ya maana ya kuchaguliwa tangu asili, basi tunapaswa...
22
SURA YA 9-3. Je, Ni Makosa Kwa Mungu Kumpenda Yakobo? (Warumi 9:30-33)
Katika kutuita sisi sote Bwana wetu alisema, “Kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi” (Mathayo 9:13). Ni lazima tutambue kuwa karama ya...
23
SURA YA 10-1. Utangulizi Kwa Sura ya 10
Je, kuna watu ambao wanaifuata haki yao wenyewe huku wakiwa wanaiamini injili ya maji na Roho? Maandiko yanasema kuwa watu wa jinsi hiyo wasioiamini...
24
SURA YA 10-2. Imani ya Kweli Huja Kwa Kusikia (Warumi 10:16-21)
Aya ya 17 inasema, “Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.” Je, imani inayomwokoa mtu katika dhambi zake...