Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)

Haki ya Mungu ipo wazi na ni tofauti kabisa na haki za wanadamu. Haki ya Mungu imefunuliwa katika injili ya maji na Roho ambayo ilitimizwa kwa ubatizo wa Yesu toka kwa Yohana na damu yake ...more

Latest Episodes

7

January 13, 2023 00:06:28
Episode Cover

SURA YA 8-1. Utangulizi Kwa Sura ya 8

Pengine sura ya 8 inaweza kuelezewa kuwa ni sura muhimu sana miongoni mwa sura kadhaa za kitabu hiki cha Warumi. Paulo anatufunulia jinsi ambavyo...

Listen

8

January 13, 2023 00:33:44
Episode Cover

SURA YA 8-2. Haki ya Mungu, Utimilifu wa Hitaji la Sheria Kwa Mwenye Haki (Warumi 8:1-4)

Warumi 8:1-4 inatueleza sisi juu ya aina ya imani ambayo wale walio katika Kristo wanayo. Siri ya kifungu hiki ni kwamba tunaweza kukutana na...

Listen

9

January 13, 2023 00:04:02
Episode Cover

SURA YA 8-3. Mkristo ni Nani? (Warumi 8:9-11)

Ikiwa mtu ni Mkristo wa kweli au la mtu huyo anatofautishwa kwa kigezo ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yake au la. Inawezakanaje kwa...

Listen

10

January 13, 2023 00:32:30
Episode Cover

SURA YA 8-4. Kuwa na Mawazo ya Kimwili ni Kifo, Bali Kuwa na Mawazo ya Kiroho ni Uzima na Amani (Warumi 8:4-11)

Watu wamekuwa wakiteseka kwa karne tano zilizopita hali wakidanganywa na mafundisho potofu ya kiimani kama vile Fundisho la Utakatifu Unaozidi, Fundisho la Kuhesabiwa Haki...

Listen

11

January 13, 2023 00:08:23
Episode Cover

SURA YA 8-5. Kutembea Katika Haki ya Mungu (Warumi 8:12-16)

Mtume Paulo, kama mtu aliyepokea wokovu toka kwa Mungu alisema kuwa wale waliozaliwa tena upya hawapaswi kuishi kwa jinsi ya mwili bali kwa jinsi...

Listen

12

January 13, 2023 00:45:17
Episode Cover

SURA YA 8-6. Wale Waurithio Ufalme wa Mungu (Warumi 8:16-27)

Watu wote ambao wamesamehewa dhambi zao wanaamini katika injili ya maji na Roho na wana Roho Mtakatifu katika mioyo yao. Katika 1 Yohana 5:10...

Listen