Warumi 11:1 inasema, “Basi, nauliza, Je! Mungu aliwasukumia mbali watu wake? Hasha! Kwa kuwa mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila la Benyamini.” Kwa maneno mengine, Mungu hakuwaacha Wasraeli kwa kuwa hata Paulo mwenyewe alikuwa ni Mwisraeli.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
Katika Warumi 8:31-34, Paulo anashuhudia juu ya upendo wa Kristo usioweza kutenganishwa na waamini kwa kufanya majumlisho ya injili ya maji na Roho na...
Sisi hatuwezi kufanya jambo lolote ikiwa Mungu hatendi kazi akiwa upande wetu. Mungu wetu anatutunza na anatusaidia. Hebu tuliangalie Neno la Mungu. Warumi 7:14-25...
Hebu sasa tuweke umakini wetu juu ‘kuchaguliwa tangu asili kulikopangwa na Mungu”. Ili kuelewa kiusahihi juu ya maana ya kuchaguliwa tangu asili, basi tunapaswa...